ARCHIVAL ENTRY
Siri ya Mfalme Jasiri na Hadithi Nyingine
KES
THE WORK
Book Details
Umewahi kutafakari kwa nini siri ikatajwa kuwa ya mtu mmoja? Je, ipo siri ya watu wengi? 𝘚𝘪𝘳𝘪 𝘺𝘢 𝘔𝘧𝘢𝘭𝘮𝘦 𝘑𝘢𝘴𝘪𝘳𝘪 𝘯𝘢 𝘏𝘢𝘥𝘪𝘵𝘩𝘪 𝘕𝘺𝘪𝘯𝘨𝘪𝘯𝘦 ni diwani ya antholojia yenye visa kumi. Imesukwa kwa vifo vyenye hadhi ya upeo, visa hivi vinaakisi maisha ya binadamu kupitia usimulizi wa kipekee. Kupitia maudhui, mbinu anuwai za uandishi pamoja na wahusika waliosukwa wakasuka, visa hivi vinazawiri masuala mbalimbali katika jamii. Baadhi ya maudhui yaliyoangaziwa ni uongozi, tamaa, usaliti, mapenzi, kisasi, uzazi, bidii na kifo. Lugha iliyotumika ni nyepesi, yenye tamathali za usemi zinazoufanya mkusanyiko huu kuganda akilini mwa msomaji. Antholojia hii inawafaa sana wanafunzi, watu wazima na wapepenzi wa Kiswahili wanaopania kusoma na kujenga msamiati na fikra zao.
SPECIFICATIONS
Technical Registry
- 01. Binding
- paperback
- 02. ISBN
- 978-9914-27-000-6
- 03. Page Count
- 194 Pages
- 04. Language
- English (EN)
ARCHIVE DATA
Collection Record
- 01. Author
- Brian Gitonga
- 02. Category
- Publishing
- 03. Status
- Reviewing
- 04. Acquisition
- Price on request